habari zenu wana jf,naomba mwenye ujuzi katika masuala ya lubricants[oil]anipatie elimu ktk sector hii.lubricants zenye masoko,masuala ya ushuru n.k.natanguliza shukran zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.