Nokia lumia 1020

Nokia lumia 1020

Hahhaha hapo juu Maberere hupo serious.

Ok. Shop hiyo Lumia 1020 ni Bei ya kiwanja, Tsh 1.2m hivi hafu hiyo S4 wale wale, Tsh.1.4 hivi.
 
Last edited by a moderator:
Samsung galaxy s4 original bei yake ni 1050,000/= pia wanakupa warranty ya kioo ikivunjika wanakubadilishia bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom