Nauza iphone 5, imetumika, iko kwenye hali nzuri sana. Ni nyeusi, ina 16gb memory, na iOS 7.0.4. Inakuja na usb cable tu.
NB: picha zinasumbua kuupload, waweza nichek through 0717301520 kupata picha
Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka Morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha pia karibu na...
Habari yenu wadau wa jf.
Nachukua nafasi hii kukutangazieni kua nyumba inauzwa.
SEHEMU: UNGUJA - MWANAKWEREKWE JITIMAI.
Planned area/panafikika vizuri kwa gari za aina zote.
Karibu na soko kuu...
1. WEBSITE / BLOG DESIGNING (STATIC AND DYNAMIC)
(i.)Tunatengeneza both Dynamic and static website, pamoja na hosting.Tunatumia lugha yoyote anayohitaji mteja, bei inategemea complexity ya...
mtu yeyote mwenye motherboard mbovu zikiwa nyingi ni vizuri zaidi lakini hata zikiwa 3 au 4 sio mbaya nikaja kuchukua kukuondolea takataka maana zipo tu lakini huzitumii PM or call on 0732 928530
Jamani mwenye kuhitaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909
Bei: Kuuza Tshs 47,000/=
Kukodi Tshs 217/= kwa siku
Maelewano yapo
VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
Nyati
Wakuu Nauza Shelf za kupangia vitu dukani, ziko piece tatu, ni kubwa na nzuri zikiwa zimefanyiwa finishing ya rangi ya brown. Kwa zote nauza sh. 200,000 tu. Ziko Tungi Kigamboni Dsm, Anaehitaji ani PM
Habari wadau, chain saw mpya inauzwa, bei maelewano, serious buyers call 0789737699, nipo Dar
Salama wana JF
Chain Saw may inauzwa, nimeambatanisha details na picha, bei maelewano between buyer...
wakuu mambo vipi? nina samsung galaxy y pro... ni screen touch and keypad .... single line... nataka kubadilishana na mtu yyte mwenye smart phon ambayo sio samsung
Wana jamii wenzangu ninauza kiwanja changu kilichopo Mbezi Golani km 2 from morogoro road, Kina msingi wa vyumba vitatu kimojawapo ni master bedroom, vilevile una home office, dining, store...
Tunaandaa
1.michanganuo ya biashara,
2.utafiti wa masoko,
3.usajili wa biashara na makampuni,
4.kutafuta mwenza wa biashara,
5.uwekezaji katika raslimali zisizoendelezwa,
6.kupanua biashara...
kwa anaefaham bei za samsung galaxy note 2 na S4 ambozo ni used na ziko kwa good condition naomba mnojuze tafadhali hasa kwa hapa bongo....
thanks in advance..
Habari wanajamii,
Nauza tiket ya ndege ya fastjet ya kuondoka nayo tarehe 28 Jan 2014 muda wa saa kumi jioni mana nlikata mapema nkitegemea ntachelewa kumaliza shughuli yangu huku mwanza na kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.