Kiwanja kinauzwa ukubwa ni nusu eka kinafaa kwa biashara na makazi kipo mbezi mwisho mita 300 kutoka Morogoro Rd karibu na stand mpya ya daradara upande wa kulia kama unaenda kibaha pia karibu na sehemu inapojengwa Stand mpya ya mkoa itahamishwa kutoka ubungo kuja hapa Mbezi. nipigie simu no. 0754 568 593 au 0655 568 593