Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
Wakuu Nauza Shelf za kupangia vitu dukani, ziko piece tatu, ni kubwa na nzuri zikiwa zimefanyiwa finishing ya rangi ya brown. Kwa zote nauza sh. 200,000 tu. Ziko Tungi Kigamboni Dsm, Anaehitaji ani PM