kwa anaefaham bei za samsung galaxy note 2 na S4 ambozo ni used na ziko kwa good condition naomba mnojuze tafadhali hasa kwa hapa bongo....
thanks in advance..
note 2 Ninayo. .. iko poa sana.. 580k fixed!! 0688 06 10 10
eti mkuu, mkiandika 580k, hii k inamaanisha nini?
mkuu sasa kwa note 2 naweza pata wapi kwa apa dar na kwa uhakika wa iyo bei...!?
k ni 1000....s0 50 k ni 50,000,na 500k ni 500,000
Nashukuru sana Mkuu
poa mkuu ngoja nitembelee kwanza...[/
haina shida mkuu..