Nauza kiwanja chenye msingi wa nyumba

Nauza kiwanja chenye msingi wa nyumba

Mkanganyiko

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
34
Reaction score
11
Wana jamii wenzangu ninauza kiwanja changu kilichopo Mbezi Golani km 2 from morogoro road, Kina msingi wa vyumba vitatu kimojawapo ni master bedroom, vilevile una home office, dining, store, sitting room, na jiko. DETAILS:- MASHARIKI UREFU NI 24m, MAGHARIBI UPANA 20m, KUSINI UPANA 30.5m, KASKAZINI UREFU 32m. - ENEO HILI LINA HATI YA UTHIBITISHO WA KIWANJA ILIYOTOLEWA NA SERIKALI ZA MITAA WILAYA YA KININDONI. Pamoja na msingi uliopo bado kuna eneo kubwa la keweza kujenga nyumba nyingine ya pili na fremu hata 7 upande wa mbele ambapo ni barabarani kabisa. 0754728189 Karibuni tufanye biashara
 
Kama kawaida yenu, kutaja bei hadi watu wabembeleze
 
Ukiona hivyo ujue anataka kumkamata mjingamjinga ampige. Eti details zote kaweka hadi namba za simu ila bei hataki kuweka.

Ukiridhika na bei ndo unapiga simu.
 
Ukiona hivyo ujue anataka kumkamata mjingamjinga ampige. Eti details zote kaweka hadi namba za simu ila bei hataki kuweka.

kwa mujibu wa namba aliyoweka muuzaji anaitwa:-
NGIKUNGA KIDOBA (weka bei please)
 
Wana jamii wenzangu ninauza kiwanja changu kilichopo Mbezi Golani km 2 from morogoro road, Kina msingi wa vyumba vitatu kimojawapo ni master bedroom, vilevile una home office, dining, store, sitting room, na jiko. DETAILS:- MASHARIKI UREFU NI 24m, MAGHARIBI UPANA 20m, KUSINI UPANA 30.5m, KASKAZINI UREFU 32m. - ENEO HILI LINA HATI YA UTHIBITISHO WA KIWANJA ILIYOTOLEWA NA SERIKALI ZA MITAA WILAYA YA KININDONI. Pamoja na msingi uliopo bado kuna eneo kubwa la keweza kujenga nyumba nyingine ya pili na fremu hata 7 upande wa mbele ambapo ni barabarani kabisa. 0754728189 Karibuni tufanye biashara

Kwa nini unaza eneo uliloanza kujenga tayari?
 
kuna mjinga mjinga anataka kupigwa tukio hapa

Mkuu hakuna magumashi hapa we kama umefika bei njoo tuonane na uone sehemu yenyewe. Sio kila mtu hapa JF ni msanii wa kupiga matukio unayoyazungumzia.
 
weka na picha basi mkuu ili tupime kama bei inaendana na msingi wenyewe
 
,Habari zenu ndgu zangu JF naomba kuwakumbusha kwamba hili eneo bado halijauzwa kwa anaehitaji tuwasiliane! HAPPY VALENTINE DAY..,,,,,,,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom