HTC Verizon na Huawei

HTC Verizon na Huawei

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
Tafadhali kwa Mtu anaeuza aina hizo ya simu ani inbox pamoja na bei Zane ila HTC ndio nayohitaji zaidi.
 
Me nna HTC DESIRE a8181 bei 220,000

Weka picha ambayo umeipiga wewe hiyo simu, halafu bei haishuki? imetumika muda gani au ni mpya?

attachment.php
 
Nina HTC Legend imetumika mwezi ipo sawa haina tatizo lolote,hapa dar
220000Tshs
 
Back
Top Bottom