Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

nauza huawei imetumika miezi 3 bei.tshs.130000.nchek namba 0659626782
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Nashukuru wana jf kwa kunielewa maana tayari nimeshafanya biashara na baadhi yenu, kikubwa kilichonifanya nirudi hapa ni kwamba nilikuwa sijaeleza vitu vingine ninavyoweza kufanya, ni kwamba kama...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Any make with wide LCD in Immaculate Condition USB/Bluetooth and Audio Amplifier are added advantages PM for business
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Kwa anaehitaji cm tajwa hapo juu anitafute kwa namba 0783905864 au anipm.bei na lak moja.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ipo lumo sigara DAR, Haipo mbal sana na barabara kuu, ina urahisi wa kuingia gar, ni self container yenye vyumba 5 vkubwa, ina kiwanja kikubwa, nyumba ya uwani pia ipo yenye vyumba 4 na seble 2...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Simu aina ya lg e400 inauzwa,. Simu iko pouwa haina tatizo... Kama mtu utakuwa seriouz nakutumia pic whatsapp my number 0785673240. Unaweza nicall or text kwenye number hiyoo.. Aina ya...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Nyumba ya kisasa inauzwa, ni self container, ipo lumo sigara Dar, ina kiwanja kikubwa, vyumba 5, nyumba ya uwani pia zipo yenye vyumba 4,na sebule 2, haipo mbali sana kufikia barabara kuu, ina...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf!Naomba kusaidiwa jinsi ya kupata king'amuzi cha azam kwa sisi watu wa mikoani!Me niko singida na ninahitaji sana king'amuzi hicho maana nimesikia ni vizuri!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Simu aina ya lg e400 inauzwa,. Simu iko pouwa haina tatizo... Kama mtu utakuwa seriouz nakutumia pic whatsapp my number 0785673240. Unaweza nicall or text kwenye number hiyoo.. Aina ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta Line ya tGO pesa ya bei nafuu nicheki kwa 0712 667 669
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari ipo katika hari nzuri Cc 1290. Km 122,420. Nyeupe. Mafuta economy,inavuta nyuma, sports rim,matair mazima, ac, radio cd,4wd. Bei 7m. Serious buyer call 0754734009. Ipo Mbeya mjini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnijuze kwa walio na uzoefu ni ipi gari nzuri hasa katika comfortability barabarani kati ya Toyota premio na Toyota allion zote za mwaka 2004.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
wakuu kwa yoyote aliye na tecno smart napenda tufanye biashara nina nokia asha 201 na 40000 yaan nampatia simu na hela kwa aliyetayari nicheck kwa 0712094731 nipo dar na hata mwenye bb ni sawa tuu...
0 Reactions
0 Replies
631 Views
General Sim Type: GSM Dual Sim: No Device Type: Smartphone Release Date: May, 2012 Design Dimensions: 136.6 x 70.59 x 8.6 mm Weight: 133 g Display Type: Color Super AMOLED screen, 16M...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari za Weekend Naomba kusaidiwa kupata mawasiliano ya mtendaji kata au hata mwenyeji/mkazi wa eneo tajwa hapo juu, naomba uni PM. Natanguliza Shukurani
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Legacy Impresion Company tunatoa huduma ya kuuza vifaa vya steshenari kwa bei nafuu hasa kwa steshenari za maofisini,kwa sasa tunatoa huduma ya kufikisha hadi ofisini kwako kwa wateja walioko...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Habari za Asubuhi wakuu..!! #mimi nina Blackberry bold 9780 (white) haina tatizo lolote and with no scratches. #kama kuna mtu ana smartphone yoyote na haina tatizo lolote na angependa...
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ipad 2 iko sokoni, imetumika...inafanya kazi vizuri bila shida yoyote..iOS 7.0.4 Contact 0719 257214
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hp laptop inauzwa,ipo katika hali nzuri saaana!! specifications kioo 14.1cm HD 150gb Processor dual camera(skpye) Ram --1gb BEI MAELEWANO. NAPATIKANA DOM 2WASILIANE KWA NO 0769056444.
0 Reactions
0 Replies
812 Views
I am looking fot RAV 4 which is in good condition,my offer is 10000k.If you have please reply. Note: I am serious buyer
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom