Make: Toyota
Model: Voxy (Noah)
Colour: Golden
Engine Capacity: 1990
Fuel Used: Petrol
Year of Manufacture: 2004
Imported from Japan: 13th September 2013
First Registration: 16th...
We Specialize In a wide Range Of Products Such As Laptops, Mobile Phones,Musical Instrument Games at Cheap & Affordable Prices. All poruds are Brand New Original Direct from manufactuer...
WE...
DICPLAN REAL ESTATE inapenda kuwataarifu watanzania na umma kwa ujumla kuwa inauza kiwanja chake kilichopo kigamboni.
1. Eneo ni Kigamboni Kibada/Mikwambe, mita 15 kutoka barabara ya lami, Kipo...
Wana jf.nipo boko dsm,nauza king'amuzi changu cha digitek.dukani kinauzwa 160000/= lakin kwa kuwa nina haraka mimi nakiuza kwa 110000/= tu.ni kipya,nakupatia na risiti yake.nimeamua kuuza maana...
Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni nokia asha 201 ipo safi tuu bei ni 60,000.
Kwa aliyetayari ni pm tufanye bishara bei inaongeleka,
Napenda kuwasilisha hoja.
Asante wadau
Hallo. Habari za kutwa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu...
Wakubwa mwenye gari hizo tajwa hapo juu ambazo siyo kajanja yaani siyo zile sijui D4 ambazo muuzaji anajua kabisa kuwa ni kimeo tuwasiliane na offer yake.
Htc one v inauzwa, ipo kwenye hali nzuri sana, still bado mpya, ina almost two weeks,,
nipo morogoro..
Bei 220,000
kwa walio seriouz na biashara:::
Call
text
whatsapp :: 0785673240
This is good news to you all, that now you are safe!
Chartered Technology is a company in Tanzania that provides Smart state-of-the-art and innovative range of security technology solutions to...
CHUMBA kinapangishwa.
Chumba kipo Morogoro maeneo ya MAFISA, KODI sh/= 30,000, unalipia miezi 6, kina maji kina umeme.
Kwa wanaohitaji..
Text and call: 0652013761
Whatsapp: 0785673240
Pata website kwa ajili ya biashara yako kwa shilingi laki tatu tu ful package. Unapata domain name, unlimited email accounts, hosting ya mwaka mmoja na inaunganishwa na facebook na twitter page...
Hello wana jamii, samahanini kea usumbufu, sijui kma ni jukwaa husika au laa, natafuta nyumb ya kupanga hapa dar, iwe kino,knyama mwenge mikocheni nk. Kodi iwe chini ya 150000 kwa mwezi. Ni pm...
Habari wana Jamii Forum,
Nauza Bajaji aina ya TVS KING yenye usajili namba T....CAP kwa Tshs 3,100,000 tu! Nime renew Bima mwezi huu na Sumatra pia imelipiwa.
For serious buyers tuwasiliane kwa...
Shamba linauzwa lipo morogoro dakawa barabara kuu ya kwenda dodoma ni mitaa 600 toka barabarani.Ekar 1000,lina mifugo na miti asili ng'ombe 150. mbuzi na kondoo 170.linauzwa pamoja na mifugo yake...
Habari Wanajamvi.
Katika kuhakikisha siku ya wapendanao - VALENTINE DAY inakuwa ni nzuri na yenye kukumbukwa daima, Kampuni ya EDMARK inayotengeneza VIRUTUBISHO kutoka Malaysia, inakuletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.