Nauza Boda boda za asili

Nauza Boda boda za asili

Nyati

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2009
Posts
2,528
Reaction score
1,920
Jamani mwenye kuhitaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909

Bei: Kuuza Tshs 47,000/=

Kukodi Tshs 217/= kwa siku

Maelewano yapo

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Nyati

1623715_806358082723160_2035643818_n.jpg
 
Jamani mwenye kuhutaji kwa ajili ya kununua ama kukodi anipigie simu +9 0909 0909

Bei: Kuuza Tshs 47,000/=

Kukodi Tshs 217/= kwa siku

Maelewano yapo

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Nyati

1623715_806358082723160_2035643818_n.jpg

Za comrade Kipepe hizo , ntahitaji kama tano hivi za biashara ila itabidi upunguze bei maana hazina "sight mirrors"
 
Za comrade Kipepe hizo , ntahitaji kama tano hivi za biashara ila itabidi upunguze bei maana hazina "sight mirrors"
"Sight mirror" siyo dili unatumia zile za asili (unageuka wakati wa kuendesha). Bei kupungua itakuwa ngumu kwani kutengeneza ni kazi kubwa hasa matairi ambayo waweza kutengeneza wakati unakaribia kumaliza likakatika kati hivyo inabidi urudie
 
...inabeba mzigo hiyo usipime....!!
 
Back
Top Bottom