WANAJF,
Naombeni msaada wa namna ya kupata mafuta ya SAMLI na ASALI MBICHI kwa hapa Dar es Salaam. Hakika nahitaji sana vitu hivyo lkn sijui nitayapata wapi kwa hapa Dar es Salaam. Kama kuna mtu...
Gari inakodishwa kwa safari mbalimbali kwa bei nzuri,ni full Ac,toyota GL,Tupo mbezi beach makonde,kona kuelekea mbezi Garden Hotel.wasiliana kwa 0657 720 792 email: llyramadhani@yahoo.com
Wanajf kuna chumba na sebule vinapangishwa yemen tandale.....kwenye kituo kabisa...ukishuka ndan ya gar unaingia getin kwako ndan.nyumba ina gypsum..ipo ndan ya fensi....ulinzi wa kutosha umeme na...
1 : Itel
model : Inote mini
ipo kwenye hali nzuri..
Ina one week tangu imenunuliwa..!!
Rangi : Nyeupe
bei : 100,000/= tsh
unapewa na charge yake
2 : Lg
model :e400
ipo vizuri...
Wakuu Nina safari ya kutoka Mwanza kuja Kibaha mail moja kwa basi. Kwa anayefahamu mazingira ya pale anisaidie ni guest house/Logde gani nzuri.
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.