Nahitaji dekoda ya Startimes ikiwa pamoja na antena yake,kama unayo tutafanya biashara mara moja.Ofa yangu ni sh.40,000/= kwa alie tayari tuwasiliane mimi nipo DAR.
katika arakati za kuulizia online bei za galaxy s4,note 2 na 3 ambapo nliambiwa izo bidhaa zipo Egpty
bei ni
Note 3 cost $350, Note 2 cost $250 and the S4 cost $300
na nkaambiwa n...
kiwanja cha ekari 2 zinauzwa sh Mil 10,
kiwanja kinafaa kwa ajili ya makazi, biashara na kimeshapimwa kina documents zote,
kipo Morogoro njia ya kuelekea Dodoma,
Mita chache kabla ya kufika...
Habari wapendwa wote humu JF, ninahitaji kununua king'amuzi cha Startimes kikiwa full pamoja na antena yake. Ofa yangu ni sh.40,000/= Nafahamu kuna watu wamebadilisha matumizi yao kwa kuweka...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tunasanifu na kuchora ramani za nyumba kwa bei poa.
Na pia tunasimamia na kutoa ushauri wa ujenzi.
Kwa mawasiliano zaidi ofisi zinapatikana...
Daihatsu Terrios Kid 2001
Was being used by a woman in a to and fro job route(AICC to home Phillips); 2 trips AR-DSM
The car is in an immaculate condition
Fuel efficient(cc 650)
Exellent servise...
Salam wadau,
Nimefanyiwa michoro ya Achtect na Structural lakn bahati mbaya hazikuwa certified and stamped.
Hivyo basi naomba Engineer aliye sajiriwa ili anikamilishie kazi yangu.
Ahsante sana.
Mchuma unauzwa bei cheee.
Ipo ktk hali nzuri sana.
Ina sifa zifuatazo:
Air conditioned, SRS Airbag, LCD TV, Radio and Dvd Player, Roof top.
Condition: In very good condition (regularly...
Kuna ndugu yangu ameniomba niweke tangazo hili hapa...shule ya kupanga inatafutwa, iwe Dar Es Salaam, na hususani maeneo ya makazi ya watu wengi, maeneo kama Tabata, Kimara, Kitunda....na ikifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.