nauza adapta ya dell

nauza adapta ya dell

Kashindi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
349
Reaction score
250
kwa yeote anaye hitaji adapta ya dell original anicheki kwa 0754224104 tufanye biashara..
 
U will have to add 5000 my no. Is 0754224104
 
[QbUOTE=lifobyasi;8724832]Fanya 25000 nitumie namba yako[/QUOTE]

watz bana ndio nawapenda hapo hapo, ukitaja bei ye anakuja na ya chini yake. Hatuna tamaduni za kununua kwa bei elekezi
 
[QbUOTE=lifobyasi;8724832]Fanya 25000 nitumie namba yako

watz bana ndio nawapenda hapo hapo, ukitaja bei ye anakuja na ya chini yake. Hatuna tamaduni za kununua kwa bei elekezi[/QUOTE]

Hapo sasa ndo utajua wa tz kuwa si wastaarabu.
 
Hapo sasa ndo utajua wa tz kuwa si wastaarabu.[/QUOTE]

Kumbe ni ustarabu? Ndio mana tukusafiri nje ya Tz inakuwa kazi wenzetu washarahisisha unakutana na chek-out machine ni kuscan bar code then bei inakuja, hakuna cha nipunguzie unashindwa acha😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom