Nahitaji Engineer wa ku stamp kazi yangu

Xidian

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
503
Reaction score
149
Salam wadau,
Nimefanyiwa michoro ya Achtect na Structural lakn bahati mbaya hazikuwa certified and stamped.
Hivyo basi naomba Engineer aliye sajiriwa ili anikamilishie kazi yangu.
Ahsante sana.
 
daah pole ingekuwa ya umeme ningekufanyia inabidi utafute civil.eng. hapo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom