jchofachogenda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 537
- 123
Habari wapendwa wote humu JF, ninahitaji kununua king'amuzi cha Startimes kikiwa full pamoja na antena yake. Ofa yangu ni sh.40,000/= Nafahamu kuna watu wamebadilisha matumizi yao kwa kuweka decoda nyingine hivyo usikiweke nyumbani njoo tufanye biashara. kwa yeyote alie tayari ani-PM.