Shule ya kupanga inatafutwa

Shule ya kupanga inatafutwa

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
Kuna ndugu yangu ameniomba niweke tangazo hili hapa...shule ya kupanga inatafutwa, iwe Dar Es Salaam, na hususani maeneo ya makazi ya watu wengi, maeneo kama Tabata, Kimara, Kitunda....na ikifaa zaidi kama manzese, mburahati kigogo nk.

Lengo ni madarasa ya nursery na shule ya msingi, vyumba visipungue vitano.

Kwa mwenye taarifa, naomba tuwasiliane kupitia 0764 387808
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom