Nahitaji dekoda ya Startimes haraka iwezekanavyo.

Nahitaji dekoda ya Startimes haraka iwezekanavyo.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
537
Reaction score
123
Nahitaji dekoda ya Startimes ikiwa pamoja na antena yake,kama unayo tutafanya biashara mara moja.Ofa yangu ni sh.40,000/= kwa alie tayari tuwasiliane mimi nipo DAR.
 
Back
Top Bottom