Kwa wapenzi wa mziki , tunatoa mafunzo ya mziki , kujifunza kuimba, kupiga gitaa na Kinanda ... Gharama ni sh 30,000/= kwa siku tano
i.e mafunzo ya vocal ( vocal training) 30,000/=
Kupiga...
Waheshimiwa
Habari,
Mi nina shida kwa wakati huu ambapo nipo wilayani na mpango wa internet
ndo uko chini balaa.Nilikuwa naomba kwa yeyote anayefahamu ni kwa njia
gani naweza pata huduma ya...
Kwa wale wakazi wa Dodoma na wanao tarajia kuhamia Dodoma kuna Nyumba Maili Mbili kabla ya kuvuka daraja ukiwa unaelekea Arusha/Kondoa upande wa Mashariki inapangishwa.
Ina room 3 moja ni self...
Kuna kiwanda kidogo cha kukamua alizeti mjini Morogoro. Uwezo ni kukamua tani 6 kwa saa 10, hivyo kwa siku nzima ya saa 24 ni kukamua tani 12 hadi 14. Mafuta yanachujwa mara mbili. Wanatafutwa...
Hi peoples,hellenonlineshop ni website iliyopo marekan ambayo imeandaliwa kwaajili ya kununua vitu uvipendavyo online inahusika na uuzaji wa mambo ya electronic yaan simu,compyuta,pia simu za...
Wanajamii mimi ni fundi umeme wa nyumba mwenye uzoefu mkubwa ambaye nimejiajiri mimi mwenyewe....Nimeshafanya kazi nyingi tu...Nimeona nichukue nafasi hii kuongeza wigo wa kazi zangu za...
Wakuu nauza mashine tajwa hapo juu ina ram 2gb, processor core 2.00 ghz, 64 bit os, window 7 professional, hdd 250gb, dvd rom RW ipo kwenye hali nzuri pia ina tatizo la betri (betri imekufa) Bei...
Kama una komputer za aina yoyote zilizo haribika, tafadhali tutafute. tutakutengenezea kwa bei nafuu sana. kwa mawasiliano piga no 255 713 947298, 0767 947298,756 514 644,0715 514 644...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.