Nauza program za Computer

Nauza program za Computer

Desmond Kamala

Senior Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
134
Reaction score
8
Nauza program nyng za kwenye computer..kwa anayehitaji kwa sasa nipo bukoba..weka namba yako nitakutafuta..
 
Nahitaji latest softwares graphic design, web design, & videos edititing. Unaweza kunitajia version gani ulizonazo tuongee biashara?
 
Nahitaji program itakayo sapoti simcard service kwenye pc-tablet. Ipo mkuu
 
Nipo arusha howmuch does they costs, vilevile hujataja specifications
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom