Nyumba ya Kupanga Dodoma

Nyumba ya Kupanga Dodoma

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,028
Reaction score
5,359
Kwa wale wakazi wa Dodoma na wanao tarajia kuhamia Dodoma kuna Nyumba Maili Mbili kabla ya kuvuka daraja ukiwa unaelekea Arusha/Kondoa upande wa Mashariki inapangishwa.
Ina room 3 moja ni self, store, sebule, dining kitchen na puplic WC. Haiko mbali na Barabara na gari inaingia. Ina Maji na Umeme. Bei ni Tsh: 250,000/= kwa mwezi. Kwa anayetaka ani PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom