Pata Adata Usb flash yenye capacity ya 120gb kwa bei nafuu ya tsh.55000/= tu kwa anaehitaji awasaliane nami kupitia 0689341445
PS: Toa order yako mapema kabla mzigo haujaisha...
Talented brothers Academy ni center inayotoa mafunzo kwa QT,Re-sitters,Pre-form five,paoja na form 6.Tunatangazakutakuwa na Solving,exams,na mafunzo kwa vidato vyote kwa somo la geography chini...
*Brand new samsung led hdtv 32inch inauzwa kwa 750,000
Note: with 2years warranty na ina built in decoder.
*pia mimi ni dealer wa aina nyingine za electronics kama Sony, LG na Hisense
*Baadhi ya...
Wanajamvi Heshima Mbele!
Nafanya kazi maeneo ya Mikocheni.
Natafuta chumba cha kuishi maeneo jirani kama vile Mwenge, Kawe, Kijitonyama, Kinondoni,Sinza, Magomeni, mbezi beach. Au sehem...
King'amuzi cha CONTINENTAL FULL BOX,Cable na Antenna yake.Karibu.
Nilikuwa busy so kwa wale awali walionyesha interest now nipo nyumbani kwa muda.
0717 017 820
Nauza simu ya lg g2 hii ndo simu latest ya lg.nyeupe ipo ndani ya boxi lake.price 730000 non negotiable.Original pm for contact.specification www.gsmarena.com/lg_g2-5543.php
Habari ya weekend wana jamvi!
Tafadhari, nahitaji kununua HONDA CRV-Used.
Je zina matatizo gani ambayo ni common?
Je ni gari nzuri kwa matumizi ya mwenye kipato
cha kawaida?
Msaada...
Habari ya weekend wana jamvi!
Tafadhari, nahitaji kununua HONDA CRV-Used.
Je zina matatizo gani ambayo ni common?
Je ni gari nzuri kwa matumizi ya mwenye kipato
cha kawaida?
Msaada...
Wakuuu nauza laptop yangu aina ya ACER ASPIRE E1-531:
SIFA ZAKE NI:
Hard disk 320GB
Ram 2GB
Processor 1.8Ghz dual core
DVD R-writable Drive
Screen 15.6 inch HD
Pia nitakupa modem ya airtel...
Wwakuu!
laini za uwakala za mitandao tajwa hapo juu zinahitajika kwa haraka sana ikiwa ni idadi ya tano kwa kila moja.
mwenye nazo au mwenye nayo anipm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.