Taylor Gang Jr
Senior Member
- Jul 2, 2013
- 131
- 7
Wewe una tsh ngapi??Mkuu mbona unauza bei kubwa sana,dukani kwa 46 unapata mpya kabisa.Punguza kidogo
"Value for money"
Wewe ulinunua Phantom A au Phantom A+Dukani pale mliman city nilinunua mpya kama 3months back, it was TZS 450,000.00. Sasa kwanini wewe unauza used 460???