Picha nyingine hiyo.
taja bei bhac
Ukiwa tayari nitumie sms kwa kutumia namba hiyo au ni inbox Jf bila shaka tutaelewana vizuri.
Ukiwa tayari nitumie sms kwa kutumia namba hiyo au ni inbox Jf bila shaka tutaelewana vizuri.
Bajaji ni ya rangi nyeusi, four stroke,taa mbili za mbele na iko kwenye hali nzuri,atakayehitaji na yuko serious apige au sms namba 0714946071