hero de mmar
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 470
- 108
Wakuu nauza mashine tajwa hapo juu ina ram 2gb, processor core 2.00 ghz, 64 bit os, window 7 professional, hdd 250gb, dvd rom RW ipo kwenye hali nzuri pia ina tatizo la betri (betri imekufa) Bei ni 380,000 maelewano yapo.
Lengo la kuiuza: sipendelei bidhaa za hp hivyo nataka kununua dell hivyo kama una dell twaweza fanya mabadilishano
Lengo la kuiuza: sipendelei bidhaa za hp hivyo nataka kununua dell hivyo kama una dell twaweza fanya mabadilishano