Kiwanda cha kukamua alizeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanda cha kukamua alizeti

Discussion in 'Matangazo madogo' started by alizeti, Jan 24, 2012.

 1. a

  alizeti New Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna kiwanda kidogo cha kukamua alizeti mjini Morogoro. Uwezo ni kukamua tani 6 kwa saa 10, hivyo kwa siku nzima ya saa 24 ni kukamua tani 12 hadi 14. Mafuta yanachujwa mara mbili. Wanatafutwa watu au mtu mwenye uwezo wa kuleta mbegu za alizeti zikamuliwe hapo kuanzia msimu wa alizeti wa mwaka huu wa 2012/13. Wenye nia ya dhati wanaweza kufanya mawasiliano kupitia barua pepe bkillagane@yahoo.com aumahelbsk@yahoo.com
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  maadamu umeweka kila kitu hapa ni vizuri pia ukatuwekea bei yenu ya kununua kwa tani!
   
 3. zegebovu1

  zegebovu1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2014
  Joined: Nov 20, 2013
  Messages: 406
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Bado mnataka? Term zenu za malipo zipo vipi? Mnangia mikataba kisheria na mtu akiamua kuwaletea hizo mbegu?
   
Loading...