Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Hi peoples,hellenonlineshop ni website iliyopo marekan ambayo imeandaliwa kwaajili ya kununua vitu uvipendavyo online inahusika na uuzaji wa mambo ya electronic yaan simu,compyuta,pia simu za kila aina uipendayo,nguo za kike na nguo za kiume,wigs ,viatu,,pochi za kike,makeup zote,ipad !pafyum zote za celebrities wa marekan kwaanae hitaji,na bidhaa zetu zipo katika reasonable price ,KWASASA WEBSITE INAMLIZIWA KUWEKWA KILA BIDHAA ILA UNAWEZA UKAINGIA NA KUANGALIA VILIVYOPO KWASASA,NAIKIWA TAYARI NITAWAJULISHA kWA WATAKAO PENDA KUNUNUA BIDHAA ZETU.
NB,kwa sasa unaweza kujipatia pafyumu na simu aina ya iphone 3g na iphone 3gs zipo ktk stok unaweza kutoa oda na nikakuletea mpaka ulipo,used iphone ninauza laki3 na hyo used ni kama mpya haina mchubuko wowote na simu ikiwa mpya nauza laki 3 na nusu inakila kitu yaani ipo katika box mpyaaa na. Nioriginal,sorry kwa maelezo marefu pia kejeli katika biashara ya mwenzio haipendezi.