Viko upande wa beach, opposite na mradi wa magorofa/appartments eneo la Dege, Kigamboni. Viko pamoja (two-in-one), total area more than 1,700sqm. Kila kimoja kina Title Deed yake. Bei kwa kimoja...
Hodi na Saalam nyingi kwenu wanaJukuwaa
Nomabe niwakumbushe tena kwamba kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wizi na ujambazi maeneo mbalimbali katika nchi yetu, hasa mijini. Matukio haya...
Eneo linatafutwa maeneo ya barabarani, Miyuji Dodoma. kuanzia maeneo ya chuo cha mipango kwenda mbele ,Liwe limetazamana na barabara.
Kama lipo piga 0719622492
Tafadhari tuwasiliane kwa mahitaji yako ya KUNUNUA au KUUZA mashamba au viwanya vilivyopimwa na ambavyo havijapimwa vyenye offer au hati.
Kwa sasa tuna mashamba na viwanja kwa ukubwa na bei...
Wakuu habari gani?
Kuna heka 2 za eneo la Makazi au ufugaji linauzwa Kigamboni Mbutu karibu na center ya eneo hilo.
Bei yake ni Milioni 10 na mazungumzo yapo.
Alie na uhitaji karibu PM
Habari wana jf, nahitaji kununua gari aina la toyota vits ambalo lipo kwenye condition nzuri na lisiwe na tatizo lolote. Na budget yangu ni mil.4 napatikana dar es salaam.
Mwenye nalo anichek via...
HP 2000 Laptop for sale
Bei 450,000 Fixed
bado mpya inakua na cd yake ya drivers
battery life 5 hours
hard disk 320GB
Ram 4 GB
ni dual core Processor
Mahali nilipo Dar es salaam
Imetumika kwa...
Za saa hizi wadau?
Nauza jiko la kuokea / kuchomea nyama na subwoofer aina ya Sea Piano size ndogo.Woofer ina speaker ndogo 2 (Twitter) na inaingiza flash, memory card na function ya Aux. Bei...
Wadau habari za jioni?
Ninahitaji kununua Tv Inch 27 au 28, ambayo ni flat,haina chogo,iwe na rimoti yake inayofanya kazi,iwe haijawahi kufunguliwa.
Ikiwa mpya kwenye box lake itakuwa vizuri...
Wakubwa natafuta nyumba ya kununua iliyo kwenye ghali yoyote, yenye vyumba vitatu, jiko, Store na Siting room, yenye thamani ya shilingi milioni 10 za kitanzania. Maeneo, Kinondoni, Magomeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.