Nissan X - trail for Sale

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Nissan X trail namba T....DBW, ipo Arusha.
Kila kitu kipo katika ubora wake.
Karibu sana. Bei ni maelewano.
 
Ukisikia gari ipo Arusha, wauzaji hawaweki picha sijui ni za magendo hizi au vip!?

Dar es Salaam vitu wazi gari nje nje mpka plate no
 
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri.
Bei ni kuanzia 16,000,000.

Rangi ya silver na imetembea 136,000Km.

Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT.
Ukitaka kuiona tuwasiliane.
Karibuni sana.
 
Nashukuru sana kwa ushauri mzuri.
Bei ni kuanzia 16,000,000.

Rangi ya silver na imetembea 136,000Km.

Nashindwa kuweka picha kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT.
Ukitaka kuiona tuwasiliane.
Karibuni sana.

Tuition zimejaa nyingi mkuu.
Nenda walau kwa wiki mara moja utaelewa kuweka picha mtandaoni
 
Back
Top Bottom