Sale! Sale! Boxed (Mpyaa) Brand New Android Phone Vunja bei Mzigo wa mwisho

Proud Patriot

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
224
10
Get a BOXED BRAND NEW Android Phone at BUDGET PRICE;

Introducing Gowin M7 At 180,000/= (Nunua kabla hizisambaa town,price might double, :glasses-nerdy:)
Whatsapp,insta,viber,tango,BBM,chrome nakuachia wewe..

COMES WITH;
Leather Flip Cover, Charger, Screen Protector and Earfones.

Features;
* Android OS 4.2.2 *Long lasting Battery (16hrs)
*Kioo ng'aavu Wide screen (5in) *Big internal memo (4Gb)
*Camera 5MP

Mikoani pia mzigo unatumwa, Contact; 0712-198-128. **Deliveries available for serious buyers**
 
Attachments

  • 20140805142456595.jpg
    20140805142456595.jpg
    28.9 KB · Views: 318
  • 1014414_10203121060409253_6767725696062819111_n.jpg
    1014414_10203121060409253_6767725696062819111_n.jpg
    51.3 KB · Views: 300
  • 1_51_133.jpg
    1_51_133.jpg
    7.8 KB · Views: 278
  • untitled.JPG
    untitled.JPG
    50.2 KB · Views: 247
Get a BOXED BRAND NEW Android Phone at BUDGET PRICE;

Introducing Gowin M7 At 180,000/= (Nunua kabla hizisambaa town,price might double, :glasses-nerdy:)
Whatsapp,insta,viber,tango,BBM,chrome nakuachia wewe..

COMES WITH;
Leather Flip Cover, Charger, Screen Protector and Earfones.

Features;
* Android OS 4.2.2 *Long lasting Battery (16hrs)
*Kioo ng'aavu Wide screen (5in) *Big internal memo (4Gb)
*Camera 5MP

Mikoani pia mzigo unatumwa, Contact; 0712-198-128. **Deliveries available for serious buyers**

kilo chake ni 16 m colors au 266 k ??
 
Sioni tija ya kumiliki smart phones. Features zilizoongezeka ni za kawaida sana; they are too ordinary to convince me. Huwa napenda kuwatanguliza 'vyambo' nione what's new, lakini tangu jamaa yangu mmoja anunue smart phones, anachoenjoy yeye ni whatsapp kwa ku.share picha na clips za ajabu ajabu hivi, jambo ambalo kwenye PC unaweza kulipata bila taabu! Niliwahi kumuuliza; kuna kitu gani kipya? Akasema whatsapp, nikamuonyesha PC version, akasema e-mail nikamuonyesha kwenye simu yangu isiyo smart phone, akasema camera nikamtolea camera yangu yenye pixels za kumwaga, akasema GPS nikamuonyesha ktk PC yangu, na kuongezea nikamfungulia google earth hadi nyumba ya kijijini kwao. Kwa ufupi, kama ofisini unashinda kwenye PC, na nyumbani una PC, kununua smartphone ni mbwembwe tu za mobility!
 
vp bado zipo??kwa 150,000 cash vp utauza??
 
Naweza pata ya rangi nyeupe? Jee ina flash camera?
 
Sioni tija ya kumiliki smart phones. Features zilizoongezeka ni za kawaida sana; they are too ordinary to convince me. Huwa napenda kuwatanguliza 'vyambo' nione what's new, lakini tangu jamaa yangu mmoja anunue smart phones, anachoenjoy yeye ni whatsapp kwa ku.share picha na clips za ajabu ajabu hivi, jambo ambalo kwenye PC unaweza kulipata bila taabu! Niliwahi kumuuliza; kuna kitu gani kipya? Akasema whatsapp, nikamuonyesha PC version, akasema e-mail nikamuonyesha kwenye simu yangu isiyo smart phone, akasema camera nikamtolea camera yangu yenye pixels za kumwaga, akasema GPS nikamuonyesha ktk PC yangu, na kuongezea nikamfungulia google earth hadi nyumba ya kijijini kwao. Kwa ufupi, kama ofisini unashinda kwenye PC, na nyumbani una PC, kununua smartphone ni mbwembwe tu za mobility!
Mzee nimecheka kweli. Kwa style yako hii mzee.....Shikamoo
 
Acha ushamba wewe(ningekuita mzee lakini hata wazee wanafahamu umuhimu wa kuwa na smart phones), dunia imebadilika sana, huu siyo muda wa kubebeshana mizigo(laptop,camera) wakati kitu kidogo kama smart phone kinamaliza shida zote kwa wakati, now unaweza kuandika docs, kupiga picha, kuangalia movies, kupata direction(navigation), kusoma vitabu, na kufanya mawasiliano ya aina zote instantly. Si ajabu bado unapiga simu nje/ndani ya nchi kwa kulipia wakati watu tunapiga free.

Smart phones zinasaidia sana upatikanaji wa habari, Siku hizi hata sina muda wa kununua magazeti nikihitaji habari ninaipata katika mtandao mda wote siyo mpaka niwe ofisini au nyumbani nimekumbatia laptop.
 
... Si ajabu bado unapiga simu nje/ndani ya nchi kwa kulipia wakati watu tunapiga free.
Mkuu, kwani skype haipo kwenye PC?

Smart phones zinasaidia sana upatikanaji wa habari, Siku hizi hata sina muda wa kununua magazeti nikihitaji habari ninaipata katika mtandao mda wote siyo mpaka niwe ofisini au nyumbani nimekumbatia laptop.
Muda wote upi ambao una mahitaji ya dharura ya kusoma gazeti? Mimi nijuavyo gazeti linasomwa mara moja kwa siku, sioni haja ya kulirudiarudia!
 
Mkuu, kwani skype haipo kwenye PC?

Muda wote upi ambao una mahitaji ya dharura ya kusoma gazeti? Mimi nijuavyo gazeti linasomwa mara moja kwa siku, sioni haja ya kulirudiarudia!

Kwa hiyo unatembea na PC mda wote MTU akitaka kukupigia mpaka muwekeane ratiba ya muda?Kwa hiyo habari zinapatikana kwenye magezeti pekee?don't be naive, perhaps hujui matumizi ya smart phones beyond social networking

Kwa hiyo hiyo simu yako unapokea emails instantly?
 
Hizo e-mail unazopokea instantly ukiwa haupo ofisini au nyumbani (mfano kwenye baa), unazifanyia kazi mara moja? Umetumiwa e-mail instantly ukiwa kwenye baa ikikutaka utume softcopy ya business license yako let's say, utaiscan wapi katika standard format? Hautarudi ofisini au home?
 
Mkuu inaonekana bado unatumia modal za kizamani sana katika shughuli zako, au uko mbali sana na maendeleo ya sayansi na teknologia, Mjanja yeyote docs na files kama hizo ana access nazo mda wowote na sehemu yoyote alipo bila kubebeshana makabrasha na laptop. Let's say naweka files zangu kwenye dropbox,bitcasa au Google drive, nikiwa ofisini nna access, nikiwa baa nnazo, nikisafiri mbali na ofisi ninazo na hata nyumbani nnazo..nikitaka wewe u access files zangu hata kama uko mashariki ya mbali nakutumia link tuu.

Smart phones zinaweza kuscan document na zikatoka vizuri tuu, na kama hujui siku hizi kaa vibaya na files zako mtu anapiga picha tuu au anascan fasta. Only fools ndo wanadhani smart phones ni kwa ajili ya whatsapp na instagram tuu.

Bado kidogo zinakuja simu zinatakokuwa zinatumika kama projectors
 
Sioni tija ya kumiliki smart phones. Features zilizoongezeka ni za kawaida sana; they are too ordinary to convince me. Huwa napenda kuwatanguliza 'vyambo' nione what's new, lakini tangu jamaa yangu mmoja anunue smart phones, anachoenjoy yeye ni whatsapp kwa ku.share picha na clips za ajabu ajabu hivi, jambo ambalo kwenye PC unaweza kulipata bila taabu! Niliwahi kumuuliza; kuna kitu gani kipya? Akasema whatsapp, nikamuonyesha PC version, akasema e-mail nikamuonyesha kwenye simu yangu isiyo smart phone, akasema camera nikamtolea camera yangu yenye pixels za kumwaga, akasema GPS nikamuonyesha ktk PC yangu, na kuongezea nikamfungulia google earth hadi nyumba ya kijijini kwao. Kwa ufupi, kama ofisini unashinda kwenye PC, na nyumbani una PC, kununua smartphone ni mbwembwe tu za mobility!

Hebu jumulisha bei ya camera yako na simu yako na pc yako uone kama haijazidi bei ya smart phone.
Mobility ndicho kitu muhimu mambo yote hayo unakuwa nayo kwenye single device huna haja ya kubeba ki bag sijui uweke camera na laptop.
 
Sioni tija ya kumiliki smart phones. Features zilizoongezeka ni za kawaida sana; they are too ordinary to convince me. Huwa napenda kuwatanguliza 'vyambo' nione what's new, lakini tangu jamaa yangu mmoja anunue smart phones, anachoenjoy yeye ni whatsapp kwa ku.share picha na clips za ajabu ajabu hivi, jambo ambalo kwenye PC unaweza kulipata bila taabu! Niliwahi kumuuliza; kuna kitu gani kipya? Akasema whatsapp, nikamuonyesha PC version, akasema e-mail nikamuonyesha kwenye simu yangu isiyo smart phone, akasema camera nikamtolea camera yangu yenye pixels za kumwaga, akasema GPS nikamuonyesha ktk PC yangu, na kuongezea nikamfungulia google earth hadi nyumba ya kijijini kwao. Kwa ufupi, kama ofisini unashinda kwenye PC, na nyumbani una PC, kununua smartphone ni mbwembwe tu za mobility!

kwenye daladala?
 
Nadhani jabulani umeamua kufurahisha jukwaa
Kama unayosema ni kweli, duh ntakuogopa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom