Waungwana nashukuru kwa ushauri mzuri.
Gari ipo Arusha ,rangi ya silver na ni automatic.
Nashindwa kuweka picha hapa kwa sababu za uelewa wangu mdogo wa maswala ya IT.
Tafadhali ukitaka kuiona tuwasiliane.
Aina ya gari
Ujazo wa injini
Rangi yake
Ina nini ndani
Bei kiasi gani?
Imetembea Km ngapi
sasa hata picha unaposhindwa kuweka hayo Maelezo, ni shidaaa.
Najitahidi kutafuta mtaalamu aniwekee picha hapa.
Gari ni rangi ya silver.
imetembea 150,000 km.
inayo radio nzuri pamoja na DVD navigation.
1990CC.
AUTOMATIC.
BEI NI TSH 13,000,000.
NAOMBA TUWASILIANE KWA NAMBA 0752559510
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.