mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,505
- 138,384
Natafuta sehemu Sinza mori, Kijitonyama maeneo nyuma ya sayansi au mitaa karibu na polisi mabatini
vyumba viwili kimoja kiwe na master, sitting room, jiko, gari liwe linaingia ndani, Mtaa uwe tulivu, Budget yangu 200, 000 hadi 250, 000/
Cha kuongeza luku iwe ya kujitegemea
Contact: 0715 591141
vyumba viwili kimoja kiwe na master, sitting room, jiko, gari liwe linaingia ndani, Mtaa uwe tulivu, Budget yangu 200, 000 hadi 250, 000/
Cha kuongeza luku iwe ya kujitegemea
Contact: 0715 591141