Wapi naweza kupata E-cigarettes hapa Dar?

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Tafadhali mwenye taarifa ya ninapoweza kununua e cigarettes hapa Dar naomba msaada. Ikiwezekana na prices zake. Walio ng'ambo na wanategemea kuwepo Dar weekend hii pia mnaweza kunisaidia.
 
Mkuu unataka cha Malawi au Arusha?
 
Tafadhali mwenye taarifa ya ninapoweza kununua e cigarettes hapa Dar naomba msaada. Ikiwezekana na prices zake. Walio ng'ambo na wanategemea kuwepo Dar weekend hii pia mnaweza kunisaidia.

Una kiasi gani nikuletee?
 
Nyie wote mnaojifanya mlio comment kabla yangu pengine hamjui hata hiyo e cigarettes ni nini.

Si mkae kimya!
 
Hivi bongo zimeshaingia mkuu na zinauzwaje kwa huko??nilikuwa nime plan nilete mzigo wa kutosha hivi karibuni
 
Mkuu Nduka, kama hujapata mimi ninazo niliachiwa na raia mmoja wa kigeni pisi tano. Nipo Mtwara, PM itakuwa bora zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Nyie wote mnaojifanya mlio comment kabla yangu pengine hamjui hata hiyo e cigarettes ni nini.

Si mkae kimya!

Hahahaha majanga! Hizo si zile cigarete feki ambazo wanatumia watu wanaotaka kuacha kuvuta sigara, Chagua Moja hapo nikuhonge ImageUploadedByJamiiForums1413880968.741253.jpg ImageUploadedByJamiiForums1413880982.066063.jpg

P.S me nauza 50,000 kwa kila moja kwa anayetaka kuacha sigara ni original
 
Hakuna dawa aina yoyote ya kuwacha sigara au bangi dawa pekee ya kueacha ni moyo wako na imaani yako na nafsi yako ndo dawa hiyo na tusidanganyane hapo
 
Nani KaKwambia Ni Dawa? Kuna mzungu alisema if u want to hide something from the black person put on writing..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom