Nyumba ya kununua

Nyumba ya kununua

anssy_b

New Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Wakubwa natafuta nyumba ya kununua iliyo kwenye ghali yoyote, yenye vyumba vitatu, jiko, Store na Siting room, yenye thamani ya shilingi milioni 10 za kitanzania. Maeneo, Kinondoni, Magomeni, Ubungo ama Sinza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom