Nokia lumia 1520,lumia 930 vs LG G pro 2

Nokia lumia 1520,lumia 930 vs LG G pro 2

Shunula

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
72
Reaction score
15
Wakuu heshima kwenu.
Nimezichanga nataka kununua smart phone, hivyo nahitaji ushauri wa uchambuzi yakinifu ni smart phone ipi nzuri kati ya lumia 1520, lumia 930 na Lg g pro 2 ? Au waweza nipa ushauri kwa simu nyingine .
 
Back
Top Bottom