Natafuta Wanunuzi wa Matikitimaji wa jumla

Natafuta Wanunuzi wa Matikitimaji wa jumla

island

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
1,065
Reaction score
837
Kama wewe ni mnunuzi,/ au unamjua anaenunua, au dalali, au unahitaji matikiti maji nipe pm.Mimi nipo Dar es salaam shamba langu liko Mkuranga pwani mble ya Mbagala.
 
kwa yeyote anayejua mnunuaji , dalali au mwenye hitaji la matikitimaji anipe PM tuongee biashara, shamba liko kisarawe pwani..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom