Tupatie fursa tukufanyie

Tupatie fursa tukufanyie

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Hello,

Imekuwa vema sana kwa watu mbalimbali kujishughulisha na miradi ya maendeleo. Sisi KIMI Development Consult Limited, ni kampuni tumesajiliwa ili kufanya kazi za ushauri na usimamizi wa miradi mbalimbali.

LEO tunawahimiza wadau mbalimbali ambao wangependa huduma zetu ziweze kuleta tija stahili katika shughuli zao;


- Tufanye sisi kuwa waandishi/watayarishaji wa nyaraka zako za kibiashara na kiofisi kwa kadri zinavyo hitajika katika mamlaka mbalimbali na kwa mjibu wa sheria mbalimbali na pia kwa ajili yako mwenyewe ktk kufanikisha utekelezaji wa mradi wako. (tumeandaa business plans za miradi ya kilimo, maduka ya dawa, laboratory services, shule ya english medium, mradi wa ufugaji samaki, kuanzisha kampuni, kuanzisha ngo, proposal za ujenzi wa visima, ufugaji nyuki, kujenga madarasa nk)


- Tufanye sisi tukusimamie miradi yako katika nyanja ya matumizi bora na sahihi ya rasilimali za mradi wako, ili mradi wako uishe au uendelee katika tija lengwa. (mfano tumesimamia mradi wa ujenzi wa zahanati sumbawanga (kuhakikisha kuwa vifaa vya ujenzi chini ya mjenzi vinatumika sawasawa na andiko lake, pia kuhakikisha muda wa kuanza na kumaliza mradi unatimilika-overcome project delay nk)


- Tufanye sisi kuwa watafutaji na wasambazaji wa vitu vinavyo hitajika katika mradi wako. mfano hivi karibuni tuliweza kutafuta (source) na kusambaza (supply) vifaa vya hotel iliyoanzishwa mkoani mbeya, tunduma.



Sasa ni zamu yako au mtu unayaemfahamu:

Tunafanya kwa usahihi, kwa ufanisi, kwa wakati na kwa uaminifu sana., maana ni kazi inayotuweka mjini. Huduma zetu ni kwa wateja wowote popote tanzania na nje ya nchi. Bei zetu ni nafuu na zinazungumzika.

Ofisi Mbeya mjini- New forest

Dar es salaam- mtaa wa Ndovu / Nyamwezi

0652 656565
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom