Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

urefu meter 30 upana meter 20. Bei mil 9. urefu meter 20 upana meter 20. Bei
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu Heshima Mbele. Naomba Kujua Wapi Naweza Kupata Kioo Cha Nokia 520 Na Gharama Zake Zinaweza Kuwa Kiasi Gani,
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kiwanja kipo bahari beach meter 50 toka baharini na mt 50 toka barabara kuu ya kwenda ununio ukubwa ni approx 5 to 6 hectors na kina nyumba kubwa (mansion) katikati! Serious buyer tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Nahitaji chumba maeneo ya ubungo kiwe self budget 50,000/=
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Beach Plot inauzwa Mapinga, Bagamoyo. Zipo eka 8 na Bei ni maelewano, na sio lazima ununue eka zote. Kwa yeyote anayetaka awasiliane nami katika email nsemwa@archfia.or.tz Au simu namba 0788 002 001
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani leo ijumaa TGIF :hail: Nauza galaxy pocket yangu, ndani yake sasa, kuna audio books za kutosha kama: 1. 21 Ways To Meet And Marry The Woman Of Your Dreams - Brian Tracy 2. The Art of War...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Nyumba kubwa inauzwa,eneo la salasala mwisho wa lami kwa wagogo,ina vyumba vitatu vya kulala,sitting room,dining na choo cha ndani,ipo kwenye eneo la ukubwa wa nusu heka.atakayefika bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
​​ninauza kiwanja changu kipo kinyerezi karibia na kifuru, ni mwendo wa dakika kumi kwa usafiri, ukubwa wa kiwanja ni mita 20 kwa 20, kipo kwenye sehemu nzuri barabarani, bei ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninaflash na kutoa sim lock kwa bei rahisi sana,mfano iphone zote unlocking kwa njia ya software ni elfu 30 tu....official ama kwa kutumia imei itategemea na carrier aliyeilock simu yako,huawei...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
namba yangu 0716628257 aliye nayo tuwasidiane
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Inauzwa LG P 970 black pamoja na memory card 4gb. Ni nzima kabisa haina tatizo lolote. Bei Tsh 250,000 0762228220 Dar es Salaam.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kitunda au karibu na maeneo hayo bajrti yangu ni 3M, Mwenye nacho au mwenye kumfahamu mwenye nacho tafadhari naomba ani-pm no yake
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau natafuta frem la kuuzia chipsi eneo lolote zuri kwa dar, kama buguruni n.k, kodi isizidi laki moja kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Ina miezi mitano Tangu inunuliwe. Ilikuwa inatumika kama bodaboda BAGAMOYO mjini. Mazungumzo yapo, Bei inaweza kupungua. No T ... CVN, RANGI nyeusi Bei ni 1.6 No simu 0713191101. Wahttsup...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
processor type:Intel Duo Core, speed: 3.3GHZ,RAM 2GB,Harddisk 250GB ,bei 280,000.. call 0767589301.
0 Reactions
1 Replies
925 Views
kwa anaehitaji eneo kubwa upana ni hatua 35 na urefu ni hatua 48.Bei ni milioni kumi.Kwa aliye siriaz tuwasiliane,hamna dalali.0683097293.Umeme na barabara vipo,umbali kutoka morogoro road ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iwe nzuri na latest, haijatumika sana pia. Budget 250K Call- 0714486466
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina nyumba iko wilaya ya Mhunze mkoa wa Shinyanga ni full suit udongo ina dirisha moja vyumba viko 12.Haina maji wala umeme,kuna hewa safi.bei milioni 40.Choo ni cha nje kipo mita 50 toka kwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1998 Toyota Avensis linauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri. Ni manual transmission.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salam JF, kwa wale wahitaji wa vifaa bora kabisa vya umeme kwa ajili ya wiring ya nyumba zao mjini Arusha. Mf: hitter, pasi or philips, Extation cable kampuni za lipper, tronic na fitilite...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom