Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Nina nyumba iko wilaya ya Mhunze mkoa wa Shinyanga ni full suit udongo ina dirisha moja vyumba viko 12.Haina maji wala umeme,kuna hewa safi.bei milioni 40.Choo ni cha nje kipo mita 50 toka kwenye nyumba ni cha shimbo.