We have started CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes at Raha Tower DSM city Center 2nd Floor. opposite Makataba Kuu ya Taifa..we are still inviting those who are interested...
Salam wakuu,
Nashughulika na biashara ya hardware jumla na reja reja, Nakufikishikia Mzigo hadi site kwako hata kama uko nje ya DAR kuna namna tunaweza kufanya ili mzigo ukufikie kwa gharama...
Mambo vipi wazee natafuta sumsung au apple ipad iliyo kwenye hali nzuri ,Memory ya kutosha wireless,inatunza charge mda mrefu aliyenayo tuwasiliane whatsapp au kwa kupiga simu 0757796706
Habari zenu wana jukwaa,
Mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai ila bado ni mgeni ndo nimeanza kupata mayai wiki chache zilizopita.
Nilipoanza kupata mayai watu walikuwa wanakuja na kuweka order...
Habar wana Jf gari tajwa hapo juu inauzwa na bei yake ni milion tatu (3000000)
Kwa aliye tayar kufanya biashara anitafute kupitia namba 0788562816
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Nissan...
Wadau, Bei ni 3.9m.
Wasiliana kwa 0652 656565.
CC 1597 (1LITRE/13KM),
Kwa bei hiyo nakubadilishia na tairi nzuri used
kila kitu kinafanya kazi (lakini hii ni used)
inafanyiwa service mara...
Habari zenu?
Tuna print CD cover kwa ubora mzuri sana,pia tuna fanya kazi za graphics.
CD cover ina printiwa kwa rangi na digital.
CD cover moja ni 500/= (MIA TANO) Bei hiyo ni kuanzia 50 PCS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.