3.5 M haina masilahi mkuu
1998 Toyota Avensis linauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri. Ni manual transmission. Limetembea km 224,000. Insurance imelipiwa mpaka september 2015. Road license imekwisha. Gari lipo Dar es salaam, Kijitonyama. Bei ni shilingi milioni 6.5 (maelewano yapo). Kwa mawasiliano napatikana kwenye simu # 0687 609 333 au 0756 609 333Year: 1998Make & Model: Toyota Aventis Kilometers: 224,000Transmission type: Manual
Kwa milage hiyo ilitakiwa kuwa imeshushwa injini mara mbili na robo(2.25) wewe umeshusha hiyo injini mara ngapi?