mgusi mukulu
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 715
- 682
Mkuu huwezi kutoa tangazo la kuuza kiwanja mjimwema kigambano bila kuzungumzia swala la mji mpya maana kila mtu anajua maeneo mengi yako ndani ya eneo la mradi. hivyo ni bora kuweka details za kutosha. Funguka je eneo haliko katika eneo la mradi? otherwise utaulizwa maswali mengi. Mimi nimepita naelekea kibada.

viwanja vipo karibu na barabara kuu vyanzo vya maji na umeme vipo.
- urefu meter 30 upana meter 20. Bei mil 9.
- urefu meter 20 upana meter 20. Bei mil 6.
Viwanja vina hati.
Mawasiliano 0716805201.
Mkuu Achana na hawa ambao mpaka leo wanauliza Habari za mji mpya,waache waendelee kupumbazwa na wajanja.
Emesema eneo lipo barabara kuu,una maanisha ya lami? Au bararbara kuu ya mtaa?
Kuhusu swala la mradi mpya wa kigamboni. Bado ni kitendawili kwa wakazi wa kigamboni kwani watu bado wananunua maeneo na wanajenga . Sana tu. Hii imesababisha wakazi wengi kutokujua nini hatima yao maana ni mda mrefu tangu swala la mji mpya. Yapata miaka 6 sasa. Watu walichukua mikopo bank na wengine kusitisha ujenzi kuhofia mji mpya lakini paka leo . Hakuna kipya . Na stop order ilikwisha expire mda hivyo kisheria swala hili linabidi kuanza upya yaani udhamini wa majengo na viwanja. Ila kwa kuwa serikali yetu ni ya kibabe labda itumie mabavu. Kiukweli watu wanajenga tena sana. Ni uoga wa wananchi tu. Hasa ambao si wakazi wa kigamboni. Ila waweza kuuliza kupata detail za uhakika. Kupitia ardhi. Na kama mradi bado upo utachukua mda gani kukamilika na je stop order bado ipo...?? na kama ipo je kwa nini wananchi bado wanajenga. Hivyo utagundua kuwa bado kuna kuna kitendawili kuhusu mradi huu. watu hawajakatazwa kujenga unajenga vizuri tu. Ndo maana nikasema hati zipo na makubaliano yapo hadi kwa mwenye kiti wa mtaa. Ila kuhusu mradi ni kweli eneo lipo ndani ya mradi ambao ulikwisha expire . Kwa sasa hakuna stop order wananchi wanajenga kama kawaida. Na kama mradi upo basi inabidi waanze kutathmini upya. Yaani hata kama mtu kanunua eneo jana. Naye atastahili malipo ya mradi. Ule wa mwanzo umeshapitwa na wakati kwani ni miaka 5 sasa kama sijakosea tangu mradi uanze. Na pia kwa sheria ya ardhi kama sijakosea within 6 months wananchi inabidi walipwe pesa zao na kuandaliwa makazi mapya ambapo kwa kigamboni paka leo bado wananchi hawajapata stahiki zao.

Vipi eneo la Kimbiji Kijaka?
Mkuu mji mpya umeenda mpaka pemba mnazi.Mwasonga ndio haipo kwenye mpango

The best option ni
kununua viwanja vilivyopimwa na serikali ambavyo wananchi wanaruhusiwa
kuendelea kujenga mfano viwanja vya kibada, Geza etc
Mkuu kipo kiwanja maeneo ya Cheka njia ya kwenda kimbiji urefu 25 kwa 30 bei sh mil 3.5 mweny kutaka anitafute mawasiliano +255 718 338497
Miundombinu vipi? Barabara inafika hadi kwenye kiwanja? Vp ujenzi wa hapo ni mbananano? Unafika shule ya Cheka?