Habari,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji Kiwanja chenye kuanza na ukubwa Wa nusu eka mpaka eka 1 hivi,,, kati ya maeneo haya
ya Matombo, Dumila, Magole, Mkundi, Msowero na Ngerengere...
Habari,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu natafuta Kiwanja chenye kuanza na ukubwa Wa nusu eka na kuendelea,,, kati ya maeneo ya Matombo, Dumila, Magole, Mkundi, Msowero na Ngerengere -...
Kampuni ya LEH iko na fridge na freezer,sote kubwa za kuuzwa.sote 2 doors.
Bei ni laki 5 kila moja.
Ni nzuri na mtu ako na mgahawa aa butchery.sote iko poa.
piga ama sms 0683318021
Kampuni ya LEH iko na freezer na fridge ,zote 2 doors ambazo tunauza.Sinafanya kazi sawa sawa.
Bei ni laki 5 kila moja .Zipo pale MLimani city.
Ni poa kw a mtu anayefanya biashara ya mgahawa ama...
kitanda na godoro vinatafutwa,,
ukubwa wa kitanda kiwe 5 kwa 6.....price 90 hadi 100k inategema na muundo wa kitanda chenyewe
Godoro ukubwa uwe 5 kwa 6...Price 90 ama laki kimoja inategmea na...
Jinsi ya kujitengenezea kipato bila ya kutoka jasho
Je wajua kuwa unaweza kujitengenezea kipato kwa njia rahisi tena bila ya kutoka jasho?
Ndio, sisi wataalamu wa kutengeneza website nzuri...
Wakuu habari za mihangaiko?
Kuna hiyo website (www.fastcardtech.com), Wanauza simu nyingi na nzuri kutoka China kama Xiaomi, Oppo, Lenovo etc., Nahitaji kununua simu kutoka kwenye hiyo website...
simu mpya na original unapewa guarantee ya mwezi mmoja ikisumbua chochote unarudisha except for the physical damage...
kumekua sana na utapeli na kutokana na hilo biashara inafanyika macho kwa...
Nyumba inapangishwa 180, 000/= kwa mwezi mwananyamala. Mwenye kuhitaji aje inbox na aache contact nitamcheki. Ni vyumba viwili kimoja master. Ina sitting room iko getini. Ina LUKU yake na kisehemu...
Habari njema kwa wanaojipenda.Sasa unaweza kupata mafuta ya queen Elizabeth toka UK kokote uliko kwa bei ya 25000 tsh tu.Tumia queen Elizabeth original ikupe siri ya urembo wako.Mafuta haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.