Nauza Modem inayotumia line za mitandao mingine

nyanja255

Senior Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
103
Reaction score
59
Nauza modem ya kutumia line zote kwa shilling 30,000 tu kwa maelezo zaidi nipigie kwa namba 0715 019393 napatikana kinondoni.
 
sasa wewe na bei yako ya dukani utampata nan wewe! Fikiria kwanza af kifaa chenyewe used aah mkubwa eh haya mi nakupa 15 chukua fasta
 
Unayo moja au ziko nyingi. Unauza??
 
sasa wewe na bei yako ya dukani utampata nan wewe! Fikiria kwanza af kifaa chenyewe used aah mkubwa eh haya mi nakupa 15 chukua fasta

Mali yangu mwenyewe ww ndo unipangie bei? Hapo ndo unashindwa kuelewa bongo land!
 
sasa wewe na bei yako ya dukani utampata nan wewe! Fikiria kwanza af kifaa chenyewe used aah mkubwa eh haya mi nakupa 15 chukua fasta

njoo nikupe ya tigo,ila inatumia mitandao yote kwa bei hiyo 0717567879
 
Back
Top Bottom