mkalenda
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 290
- 23
Wakuu habari za mihangaiko?
Kuna hiyo website (www.fastcardtech.com), Wanauza simu nyingi na nzuri kutoka China kama Xiaomi, Oppo, Lenovo etc., Nahitaji kununua simu kutoka kwenye hiyo website, kwahiyo nilikuwa naomba mtu mwenye PayPal na uzoefu wa kununua vitu online tuwasiliane ili nimwoneshe aina ya simu ninayoihitaji then aniagizie ikifika nampatia hela hiyo na fedha ya usumbufu.
Kama upo tayari, Ni-PM au nitafute kwa namba 0769038065.
Natanguliza shukrani Wakuu!