Unadhani??? Mkuu jamaa Wa waliopo Bongo ni tofauti na waliopo Bongo. Hata Tanzania kuna makampuni kibao yanafanya vizuri sema tumezoea kuendekeza madalali Wa mitaani. Hata info walizonazo kwenye web yao inaonekana hawako makini kabisa. Kama naangalia jina kubwa basi Knight Frank kwa Tanzania ndio mkubwa wao.Nadhani ukisoma ndani ni 98 acres.
Lakini hawa jamaa nawwkubali .
Madalali wa mitaani watapungua

Please send your CV or visit our office at IT Plaza.