Natafuta kiwanja cha nusu eka na kuendelea Matombo - Morogoro

Seto

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
953
Reaction score
57
Habari,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji Kiwanja chenye kuanza na ukubwa Wa nusu eka mpaka eka 1 hivi,,, kati ya maeneo haya
ya Matombo, Dumila, Magole, Mkundi, Msowero na Ngerengere - Morogoro...
 
Kuna post humu i search, kuna jamaa anauza maeneo ya Mkundi kwa Mwarabu.
 
Back
Top Bottom