Nyumba ya inapangishwa 180,000/= Mwananyamala

Nyumba ya inapangishwa 180,000/= Mwananyamala

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
103
Nyumba inapangishwa 180, 000/= kwa mwezi mwananyamala. Mwenye kuhitaji aje inbox na aache contact nitamcheki. Ni vyumba viwili kimoja master. Ina sitting room iko getini. Ina LUKU yake na kisehemu cha kupikia.
 
Karibuni tu kwa wenye kuhitaji kama utaona tangazo linakuhusu. Zama Inbox
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom