Kitanda na godoro kinatafutwa ndani ya masaa 24

Kitanda na godoro kinatafutwa ndani ya masaa 24

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,074
kitanda na godoro vinatafutwa,,

ukubwa wa kitanda kiwe 5 kwa 6.....price 90 hadi 100k inategema na muundo wa kitanda chenyewe

Godoro ukubwa uwe 5 kwa 6...Price 90 ama laki kimoja inategmea na ukubwa wa inch na upya wa godoro lenyewe..

wahi sasa maana muda ni masaa 24 tu ambao kitanda kinatakiwa kiwe kimepatikana
 
Hii lugha kidogo imenipiga chenga lakin nawasubiri wenywe uzefu wa lugha
 
Hawa wauza vitanda hawapo humu
 
Kweli hamna wauza vitanda humu
 
Hajasema yupo wap? me nnavyo vyote hvyo but npo kigoma.
 
nina kitanda 5 kwa 6 fasta tuonane ubebe mzigo wako,nchek 0767589301,godolo limechukuliwa tayal leo.
 
Mimi nahitaji 6/6 kipya mwenye nacho tafadhali aniwekee picha hapa na bei
 
Godoro jipya 6*6 inahitajika 120
napatikana dar.
0716880022
 
Mimi Ni muuzaji wa vitanda na magodoro, ila Kitanda cha laki hamna na godoro la 90 Ni feki
 
Back
Top Bottom