Madalali wa viwanja Mikocheni

Madalali wa viwanja Mikocheni

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
natafuta madalali maeneo ya mikocheni piga no 0786764076 natafuta kiwanja
 
Weka bajeti yako mkuu,usije ukawa unataka cha million 4 mikocheni
 
ukikosa njoo changanyiken njia kutoka udsm au ubungo ...bei maelewano .0755416980
 
Mleta mada,

Mimi ni mkazi wa Mikocheni toka mwaka 1991. Ukaaji wangu huku umenifanya nishuhudie utapeli mkubwa kufanyika hasa kwenye masuala ya viwanja.

Kwa ufupi, Mikocheni hakuna viwanja vya kuuzwa. Kama ukikuta eneo lipo wazi, basi ujue kuna kesi ipo mahakamani inaendelea. Mikocheni kwa sasa utapata nyumba tu.
 
Back
Top Bottom